Thursday, October 1, 2015

THE WINNERS DANCERS TEAM BIORN WATINGA FAINALI ZA DANCE MIA MIA KWA KISHINDO.

The winners dancers team Biorn
Yatinga fainali za dance mia mia kwa kishindo.
Mashindano yameandaliwa na East Africa Television and radio
Kwa udhamini wa vodacom Tanzania.                                                                                                      

Thursday, July 9, 2015

KIFUATACHO NI KIPANDE KIDOGO CHA SEHEMU YA VIDEO TOKA KWA MSANII NILLAH a.k.a. HALLY C MWISHO MWAMPAMBA NDANI YA CHUPA


TUNE EAST AFRICA TELEVISION LEO FRIDAY TAR 10 JULY NDANI YA FIVE SELECT ''THE WINNERS DANCERS TEAM BIORN'' KULETA AMSHA AMSHA KUELEKEA MASHINDANO YA DANSI MIA MIA.

Leo kikundi cha dancers kinachomilikiwa na Biorn production kijulikanacho kama the winners team biorn kitafanya mahojiano pale kwenye kituo cha televisheni ya East Africa ndani ya kipindi cha 5 selekt  hii ni kwa ajili ya kuleta amsha amsha tu kuelekea mashindano mengine tofauti na yale ya kenya, Mashindano haya hujulikana kama dansi mia mia kwani huandaliwa kila mwaka hapa hapa Tanzania kupitia televisheni hii kubwa kwa masuala ya burudani hapa nchini.
Husikose kutazama ufikapo muda wa kipindi ili upate kufahamu maandalizi ya kikundi hiki kwa michuano hii ya ndani ya nchi.
Heshima,juhudi na maarifa ndiyo msingi wa kazi.

MWANADADA ''NILLAH'' A.K.A. HALLY C AMEKAMILISHA VIDEO YA WIMBO WAKE NI WEWE AMSHIRIKISHA MWISHO MWAMPAMBA

Mwanamuziki wa kike mwenye uwezo mkubwa wa sauti na kuimba toka pande za Central zone dodoma,Amekamilisha matayarisho ya Video ya wimbo wake unaoendelea kusikika na kufanya vizuri kupitia station za radio mbali mbali nchini na jirani ujulikanao kwa jina la Ni wewe.
Chupa hilo amelifanya chini ya mtayarishaji au muongozaji aitwae Abykaz inatarajiwa kuachiwa wakati wowote toka leo.
Humo ndani amemshirikisha aliyekuwa mshindi wa big brother afrika namba 2 bhana Mwisho Mwampamba.
Mtandao wetu umefanikiwa kupata baadhi ya picha walipokuwa kwenye maandalizi na upigaji wa video hiyo kama ifutavyo.






DANCERS TOKA BIORN PRODUCTION WAJULIKANAO KAMA ''THE WINNERS'' WASHINDA KWENDA KUIWAKILISHA TANZANIA NJE YA NCHI MICHUANO YA NTV NAIROBI IJULIKANAYO KAMA ''SAKATA DANCE''

Kikundi cha vijana wa dancing kinachomilikiwa na kampuni ya Biorn Production kimeendelea kufanya vema kwenye mashindano ya aina mbali mbali yanayoendeshwa na wadau wa aina tofauti ndani na nje ya nchi.
Kikundi hiki kinachoendelea kujizolea umaarufu kila kukicha kijulikanacho kama the winners team biorn kimeshiriki michuano ya Sakata dance iliyoandaliwa na kituo cha televisheni nchini kenya jijini Nairobi ( Ntv) na kufanikwa kujinyakulia ushindi wa kwenda kwenye fainali za kuiwakilisha nchi ya Tanzania zitakazo husisha mataifa matano ya nchi jirani za afrika ya mashariki.
Mchujo wa kuelekea nchini Kenya kwenye fainali hizo ulifanyika kitaifa pale Don Bosco upanga jijini Dar es salaam na kuhusisha vikundi themanini na tatu (83) toka pembe mbali mbali za nchi na kuchukua washindi watano kwa kuliwakilisha taifa nje ya nchi.
Kwa sasa taratibu zote za awali zilishakamilika hivyo vijana wanasubiria hati zao za kusafiria toka idara ya uhamiaji (pasports)
Fainali hizo za Sakata Dance zinatarajia kufanyanyika siku za hivi karibuni ndani ya jiji la Nairobi,zikihusisha mataifa yote matano ya nchi za Afrika ya mashariki ambapo waandaaji wakuu ni Ntv ya Kenya,inatarijiwa kuwa na patashika kubwa kwani vikundi vyote ni vikali hivyo imeleta msisimko mkubwa kwenye haya mashindano.


Wednesday, July 1, 2015

MKALI YOUNG 60 TOKA KUNDI LA TAIFA LA MICHANO AACHIA KAZI MPYA ALOSHIRIKIKIANA NA KISS DANIEL.INAITWA WA CHUO

KWA UWEZO ALIOONYESHA MKALI YOUNG 60 TOKA TAIFA LA MICHANO KWENYE WIMBO HUU MPYA UTAAMINI KWAMBA 
EVERYTHING IS POSSIBLE KWENYE MZIKI NI WEWE KUFANYIA KAZI TU.
Namjua kidogoo....
ananijua kidogoo wowoo sisi habar noooo yeyaaa yoweeee..
Me najua wataka njoo.....
najua wataka njoo njoo njoo....
cc habar no yeyaaa yowee ...baybe sweet very nice .....
baybe tulilulilu hadi kwa mtaani yee.....
mtoto uko sex atakuambia nani....
et wapole wa kwao na wote wafute usemi.....wachuo aaaaah ale leleleleleeeee

MKALI ALIYEBARIKIWA SAUTI TOKA DODOMA AINEA AMEACHIA WIMBO MPYA AMSHIRIKISHA DULAYO UNAITWA ''JUDDY''

MKALI WA VOCAL TOKA CENTRAL AINEA WA SINA MPANGO NAE AMEACHIA AUDIO YA WIMBO MPYA ALIOMSHIRIKISHA MSANII DULAYO..NGOMA HIYO IJULIKANAYO KWA JINA LA JUDY INA INAFANYA VIZURI RADIO STATION MBALI MBALI 
ILI KUWEZA KUISKIA NAKUPA LINKI HAPO ILI PIA UWEZE KUIDOWNLOAD. http://www.hulkshare.com/rl3wpuyl40sg